Recent content by HUSSEIN K

  1. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kila siku broken English

    Kwa sababu lugha yetu tunayoitumia ni Kiswahili, hakuna haja ya kujilazimisha kuongea Kiingereza wakati lugha hii ni tatizo kwako. Watu wengi hudhani kuongea kiingereza ni kielelezo cha ustaarabu (civilisation) na usomi - hii si kweli. Wazungu wakija hapa kwetu wanalazimika kuongea Kiswahili...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Elimu uganda

    kwa wazazi wote wanaopenda watoto wawo kupata elimu uganda, angalieni "syntax uganda" kwenye facebook kwa maelezo zaidi.
  3. H

    JamiiForums Tanzania Samsung galaxy, online shopping

    Angali ebay kwenye net utapata aina nzuri kutoka America lakini usitegemee china
Back
Top Bottom