Recent content by Husband wake

  1. H

    UKABILA utamfanya Zitto ashinde UBUNGE 2015

    Unataka wasimchague Zzk halafu wamchague nani? Ushatathmin huyo wa kumchagua ana mambo yepi ya kuwafanyia wana kigoma na watanzania kupita mchango wa Zzk?. Au ni siasa za chuki tu unaleta?
  2. H

    Walioweka Kiswahili kwenye Google Translate hawajui Kiswahili

    Ni kwa sababu wewe na mimi tunaojua kiswahili hatukuiona hyo fursa,na hata saiv hatuioni ndo maana hatufanyi chochote . Ila kuna majamaa wameona fursa na hawajui kiswahili.
Back
Top Bottom