Recent content by hunterJ7

  1. H

    JamiiForums Tanzania Usaili wa utumishi (kwenye interview ya mchujo) unawalenga wanafunzi na wahitimu wapya

    Habari ndugu zangu, nimekosa written interview ya mchujo niliomba driver II Tra ambayo ilikua ni 17 /12/2022 kiukweli sikua na smart so sikupata clue yeyote kama majina yametoka, hivi kweli ntapata second chance maana still kuna vitendo 31 December na mahojiano 13 January au ishakula kwangu
  2. H

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu Waislamu Kama ni Kusherehekea, Hili limezidi

    Kulikua na ulinzi wa polisi miksaa komando mjeshi alikua busy mnoo na bakoraaa kuongoza watu na magari ukijichanganyaa unapewa stikii ya mgongo achaa[emoji16]
  3. H

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu Waislamu Kama ni Kusherehekea, Hili limezidi

    Aisee nilipita kulee ni kerooo kubwa Sanaa, mzazi mwenye akili timamu huwezi peleka watoto kule hasa wa kike.
  4. H

    JamiiForums Tanzania Kwenye Portal ya Wizara ya Afya hakuna kipengele cha maderava wakati kwenye Tangazo wameweka nafasi hizo

    Naombeni msaada wakuu kila ninapoapply za udereva Ina niambie failed check professional requirements, na kila kitu kipo sawa
  5. H

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli kuna maisha baada ya kifo?

    The book of revelation tells all about it take time and read especially the last chapters
  6. H

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli kuna maisha baada ya kifo?

    It's simple if you believe.
Back
Top Bottom