Recent content by Hungiro jr

  1. H

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kupata kazi

    Nikushukuru Sana ndugu yangu Kwa ushauri wako mzuri na wenye maana Jana hyo hyo nimefanya hivyo hatimaye naenda kupata soon.
  2. H

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kupata kazi

    Asante Sana Kaka🙏🙏🙏
  3. H

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kupata kazi

    Jaman habari Wana Jamii, Kwakweli naombeni msaada wenu nimesoma Procurement and Logistics management nilimalza tangu mwaka 2020 sasa Kila nikiomba kazi sipati kabisa wala hata kuitwa kwenye interview hapana kadri siku zinavyozid kwenda ndivyo na Hali yangu ya kimaisha inazidi kuwa Tete kabisa...
Back
Top Bottom