Nianze na nukuu hizi mbili kuntu za Baba wa Taifa Mwalimu Julius K. Nyerere- Mwenyezi Mungu amrehemu.
“Democracy is not a bottle of Coca-Cola which you can import. Democracy should develop according to that particular country”. June 1991 in Rio De Janeiro, Brazil
"Demokrasia sio chupa ya...
NILICHOKISEMA CHANNEL 10 KUHUSU USHIRIKI WANGU KATIKA KATIBA, UCHAGUZI NA SASA PART 1
NILICHOKISEMA CHANNEL 10 KUHUSU USHIRIKI WANGU KATIKA KATIBA, UCHAGUZI NA SASA PART 2
Leo tarehe 7 Agosti siku ya Ijumaa saa 4 hadi 5 usiku nitakuwa katika Televisheni ya Channel 10 kipindi cha Mada Moto. Huko nitazungumzia yanayoendelea kujiri katika siasa za Tanzania.
Nitasema vitu kadhaa visivyo vyepesi, lengo likiwa ni kusaidia umma wa watanzania kuujua ukweli na hatimaye...
KABLA YA KUULAANI AU KUUBARIKI UAMUZI WA UKAWA KUSUSIA BUNGE NAOMBA USOME HAPA MTIRIRIKO WA MATUKIO YALIYOTUFIKISHA HAPA KISHA UTAAMUA, MBIVU NA MBICHI NI ZIPI.
MJULISHE NA MWINGINE UJUMBE HUU.
Kwa mtanzania, mwananchi na raia makini wa Taifa letu ambaye amefuatilia suala la UKAWA kususia Kura...
Enyi watanzania, wapenda maendeleo, wapenda amani, umoja, mshikamano pamoja na ninyi wanasiasa wa vyama vyote NAWAULIZA, Kifungu cha 5(3)&(4) cha Sheria ya Kura ya Maoni kinasema Tume ya Taia ya Uchaguzi itapaswa kutoa Elimu ya Uraia juu ya Katiba Inayopendekezwa na inaweza kuruhusu Asasi za...
Leo Ijumaa tarehe 2 Januari saa 3-5 Usiku nitakuwa katika Kipindi cha KipimaJoto ITV, huko tutajadili kwa kina hatima ya Mchakato wa Katiba. USIKOSE.
Hii itakuwa ya kufungulia Mwaka 2015. Wajulishe na wazalendo wengi zaidi.
Kwa taarifa zaidi karibu ku-LIKE na kufuatilia ukurasa wangu wa...
TUNAHITAJI KUWAFIKIA WATU WENGI ZAIDI, "LIKE" YAKO KWA UKURASA WANGU ITAPELEKA MAARIFA KWA WANANCHI WENGI ZAIDI. BAADA YA KU-LIKE *SHARE*
Tunaendelea vema, nafarijika na wote mnaounga mkono kwamba kuna umuhimu wa wananchi kueleweshana, kujadiliana, kufundishana na kutafakari kwa pamoja juu ya...
Hii Naomba muisambaze (share) kwa wingi kadri mtakavyoweza ili watanzania wote tuifahamu Katiba Inayopendekezwa na namna ambavyo imeshughulikia Maoni ya wananchi.
Ijumaa tarehe 7 Novemba, katika Kipindi cha KipimaJoto (LIVE) ITV na Radio One saa 3-5 Usiku atakuwepo Mzee Joseph Butiku-...
USIKOSE Matangazo ya Moja kwa Moja (Live) kupitia ITV ambapo wajumbe wa iliyokuwa Tume ya Katiba wataongea na wananchi wa Dar es Salaam na kote nchini kupitia ITV kuanzia saa 9 Alasiri Mpaka saa 12 Jioni katika Ukumbi wa Ubungo Plaza, Hoteli ya Bluepearl. Watoa mada ni wajumbe wakiongozwa na...
Nimeisoma Rasimu ya Katiba Inayopendekezwa, nimeisoma yote, ni bahati mbaya inapigiwa upatu kwamba imebeba mambo ya wananchi, mambo ya wakulima, wafugaji, wavuvi, vijana na kadharika. Jamani hayo ni hadaa, msingi wa muundo umebadilishwa, Tanganyika imevalishwa koti jipya la Muungano, ambalo...
Kwa heshima kubwa nauliza, kwanini mnataka kukimbiza mambo? kuna lipi tusilolijua mnalotaka kulitimiza? Mnajua muda hautoshi, kwanini mnalazimisha kila kitu kifanyike kabla ya tarehe 4 Oktoba. Ilhali mnajua tumeshindwa kukubaliana, kujenga muafaka na kufanya maridhiano, Dhambi iko wapi, si...
Usikose kipindi Je Tutafika cha Mzee Makwaia leo saa 3 na Nusu Usiku katika Televisheni ya Channel 10. Huko tumezungumza Mchakato wa Katiba Mpya, Bunge Maalum na suala la Uraia Pacha. Karibu kusikiliza na kutizama ili Mjadala uendelee. Asante. Mjulishe na Mwingine.!
Ukitaka kujua nilisema nini Channel 10 jana tarehe 20 Agosti BOFYA hapa
Na usisahau kusoma gazeti la RAI leo Alhamisi Agosti 21, huko kuna Makala ya Ufafanuzi wa Masuala Mbalimbali juu ya Mchakato na Rasimu ya Katiba Mpya Toleo la Pili
Asanteni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.