Humphrey Polepole
Member
- Nov 15, 2010
- 19
- 230
Last edited by a moderator:
Humphrey Polepole kumbe ni member humu duh karibu sana mkubwa nilitamani sana uje ufanye interview hapa jukwaani kwetu kuna wana ccm wamo humu wejificha kwa ID feki wanasema rasimu walioitengeneza pale dodoma ni nzuri,,watueleze uzuri wao na wewe uwaambie ubaya wake...please bro
baadhi yao ni
_@mwanadiwani
CHABURUMA
MSALANI....
Hatua hii imemalizika. Twende kwa wananchi kabla wenyenchi hawajawavamia.
Mkuu, hapo kwenye red isomeke WALANCHI tafadhari.Hatua hii imemalizika. Twende kwa wananchi kabla wenyenchi hawajawavamia.
Hatua hii imemalizika. Twende kwa wananchi kabla wenyenchi hawajawavamia.
Usiwaamini sana wanasiasaNampongeza Kijana Humphrey Polepole. Mungu amlinde kwa ajili ya Tanganyika, Zanzibar na Jamhuri ya Muungano ya Tanzania.
Mimi siamini kama mtu huzaliwa mwanasiasa. Binadamu huzaliwa tukiwa sawa kabisa kwa jinsi Mungu alivyotuumba. Ila binadamu hubadilika kutokana na mazingira aliyokulia au watu waliomkuza au waliomzunguka. Ndiyo maana mtu anapotenda jema anatakiwa kupongezwa. Akibadilika tu tuwe tayari kuchuja. Ila unapokuwa shabiki wa siasa basi huwa unaweza kulishwa vilivyo chacha tena bila hata kunung'unika. Mimi ni mtu mwenye mawazo huru hukubaliana na lililo sahihi na wakati likiwa sahihi.Usiwaamini sana wanasiasa