Keki ya taifa? mkate wa taifa?kipi ni
kipi?keki ya taifa ni elimu,uchumi,utamaduni, afya nk.
Dunia haina haki bali kuna sheria.Uhuru maana yake kazi na kazi bila Uhuru ni utumwa.
South afrika bado wanasherekea Uhuru,wanataka keki bila kufanya kazi,wapewe Bure bila jasho.
Anc napo wako...
Jenerali wengi hawatokuelewa kwa sababu wa tz wengi wanataka Majibu rahisi kwa maswali magumu,wengi hufikiria Leo na si kesho,nchi ambayo kila MTU mwanasiasa,kila mtu mishemishe, mjanjamjanja na wapuuzi puuzi dhaifu.
Huwezi chukua mbuzi kupigaa labda sokwe!toka proffesor hadi mbumbumbu wote...
Kumbuka hizo sehemu za ibada ndipo palipo na kada mbalimbali za wapiga kura na raia wa nchi hii.
Wana haki ya kujadili na kuweka misimamo yao kama sehemu ya jamii.
Hatupaswi kuweka mipaka ktk majadilano ya kitaifa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.