Mchakato wa fedha kwenye akaunt ya serikali upo wazi, ni rahisi kujua matumizi kuliko kumpa cash mwalimu na haupewi risit tunaamini vipi kuwa pesa imeenda shulen?
Ni sahihi kabisa, sikatai mwanangu kupewa adhabu lakini aina ya adhabu wanazotoa imekua ni mradi au biashara shuleni, shule ikianza tabia ya adhabu kuwa pesa kivyovyote watoto watatafutiwa makosa ili wapate pesa, ingekua adhabu ina dhamira njema wangetoa akaunt ya shule wazazi tuweke pesa huko...
Mkuu pale Iringa mjini shule ile ni boarding school, na o-level ndio kutwa, si wazazi wote tupo mkoani pale, mtoto akirudishwa inatutaka kusafiri kwenda mkoani Iringa tena unakuta kosa lenyewe ni kutoa ingia kwenye kipindi, inasikitisha sana lakini mimi nitafika mbali, haiwezekani mabinti wadogo...
Hii shule ni kati ya shule zenye heshima kubwa kwa mkoa wa Iringa na viunga vyake, lakini siku za hivi karibuni imekua ni shule ya ajabu kuwahi kutoa, wizara ya Elimu, tamisemi mko wapi? Hizi shule hamna utaratibu wa kuzifuatilia?
Mh. Raisi mama yetu Samia Suluhu Hassan amekuja na utaratibu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.