🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Wakurugenzi wanabadilishwa,WAKUU wa Mikoa,WAKUU wa Wilaya,Mawaziri why not them???
Kwanza kusimamiwa na Mkuu huyo huyo miaka nenda Rudi kunachosha!
Ndugu wanajamii forums habarini za Mchana?
Nashauri/napendekeza kwa Mamlaka zinazohusika (TAMISEMI) kubadilisha WAKUU wa Shule za Serikali kila baada ya muda fulani ikiwezekana iwe kila baada ya miaka MIWILI hii itasaidia kuwasimamia Walimu wake vizuri na hatimaye kuinua Taaluma ya Shule.
Mkuu...
Unajua Mimi hapo ndo napochokaga yaaaan inakuwaje Mhe Rais,Wabunge na Madiwani wanachaguliwa kila baada ya Miaka 5 lakini watendaji wengine wanakaa kwenye vitu vyao kwa zaidi ya miaka 10 mpaka wanakuwa Sugu????
Why lakini,
Mwl Mkuu,Mkuu wa Shule anapaswa kukaa si zaidi ya Miaka mitatu aje...
Kwanini apumzike baada ya kushindwa kama kweli ana nia ya dhadi???
Halafu kitu ambacho watu hawaelewi Chadema ni Chama Cha Wachaga/Familia
Bob MAkani na Mbowe wote walikuwa wanafanya kazi BOT Chini ya Mtei,
Mtemi aliwatoa BOT kusimamia Chama Cha Familia halafu ninyi mnakurupuka TU from no...
Hivi kweli Mbowe ni Mtu wa kukaa kimya na kushindwa kuunga mkono juhudi za Lissu na Heche??
Kwa jinsi ilivyo Chadema kwa Sasa nimeamini Nchi hii hakuna upinzani hata kwa dakika moja mbele!
Watu wapo kwa ajili ya ulaji,
Fighting spirit ya pamoja haupo!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.