Ulichozungumz kinaenda sambamba na wakristo wa marekani hivyo hivyo.
Wakristo wa marekani mfano jiji la newyork pamoja na kuwa yule jamaa ni muislam hawakuangalia dini yake wamemchagua na kuwa kiongozi wao bila kuangalia dini yake ya uislam wameangalia utendaji wake.
Pili hawana chuki na...
Colonel wa NATO teh teh teh
Na ukimtazama usoni sura imekunjamana kama mlezi wa gongo..teh teh teh
Akawa anampiga mikwara CDF Mgunda eti...
Watu vichaa sana
Haisaidii kuwaondolea maumivu ya moyo
Wawe na uwezo mdogo au mkubwa still uko chini yao na huna uwezo wa kuwafanya chochote wala lolote zaidi ya kuwa keyboard warrior tuh
Serikali ni system
Kama wanashiriki kwenye hilo basi hata wakatoliki wenzenu walioko serikalini wanahusika why uwape lawama samia na mwigulu
Akili au matope hizo?
Sasa ugomvi wenu nyinyi kanisa katoliki na waumini wenu serikali inahusikaje?
Kaeni chini mmalizane nao,yani serikali iache kuletea wananchi maendeleo ifanye mchezo wa kuwapanga waumini wagombane na kanisa??
Pambaneni na hali yenu.
Maandamano nendeni mkachukue darasa kwa wale wakatoliki jinsi gani ya kuandamana kwa amani.
Wenzenu hawalitaki kanisa ila unaona kabisa wanaandamana kwa ustaarabu bila kuzuia shughuli za watu wengine
ITAKUWA NI VIJANA WAO WALIOWATUMA KUFANYA ZILE FUJO WANAJUA THEY ARE MISSING
NA NDIYO MAANA WANAKOMAA KULIA LIA WAPEWE MIILI WAKAIZIKE...WANAJUA UKWELI HAW..TUWAPE MUDA TUH WATASEMA KILA KITU
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.