Recent content by hubetz

  1. hubetz

    JamiiForums Tanzania Watu wanaopenda Internet data njooni apa

    Wakuu msaada please? Nina line special ya halotel nataka kujiunga na bundle la 50k la kifahari unlimited. Iyo menu kwangu naweza kuifikia ila nashindwa kununua kwasababu sijui hera nawekaje kwenye simu maana kwa mawakala hawawezi kuiwekea hera line iyo.
  2. hubetz

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mda mlefu sijachangia humu ndan.... Nataka niposti humu ila nashindwaa 🤮..... 🤣🤣🤣🤣🤣 moroko karieni kwanza🍾🍾
  3. hubetz

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    6418F17 Sportybet 🤳
  4. hubetz

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    CODE CCD6BE Spotybet Odd 238... Mwisho j3 ijayo... Kutokana na mda wangu kutotosha nimeona nilete code hii humu... pita nayo kama ilivyo usisumbuke ku edit kitu... “PROJECT KILL KANJI” 🤳
  5. hubetz

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kweli mkuu....Sijaenda flashscore kama ni ivyo hongera sana mzee👏👏 keep up...
  6. hubetz

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hapana nahuakika jamaa ka bet live kwenye dakika za mwisho
  7. hubetz

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hello wadau, mwezi wa screenshots za live betting muhindi ajiandae, nikifeli si bet tena 😅😤
  8. hubetz

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Thank you 😵
  9. hubetz

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Over 4.5 Mungu ni mwema embu tusubiri kipindi cha pili 🤳
  10. hubetz

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Machimbo mapya yanamaajabu yake... siku ukiyavumbua unaweka stake ndogo kujaribu kumbe ndo una win na kujilaumu kwann uliweka stake ndogo... kesho yake unasubiri code afu unaweka stake kubwa kanji anasepa nayo
  11. hubetz

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Sawa ila ndo odds zenyewe mkuu... binafsi nazitumia kwenye live... ni safe kinyama
  12. hubetz

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    No.... pande zote zinabidi ziwe greater than 2.3 hivi....
  13. hubetz

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nimechukua changu over 4.5 ila naisi bado kuna magori hapa
  14. hubetz

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Over 3.5... this was a hard one
Back
Top Bottom