Kwa sasa kila mmoja analia kivyake kutokana hali ilivyo kwenye nchi yetu. Popote unapokuwa utalalamika kwa aina yoyote upendayo kutokana na kazi unayofanya. Uwe MWANASIASA, MKULIMA, MTUMISHI WA SERIKALI, AJIRA BINAFSI, AJIRA KWENYE SEKTA BINAFSI N.K utalalamika kwa hali uonayo kwenye eneo lako...