Muarobaini wa Tatizo la Wizi serikalini ni Uchunguzi wa Kina wa Mali pamoja na Fedha zinazomilikiwa na WATUMISHI WA UMMA kulinganisha na Mishahara yao.
Hoja ya kutotibu mtu kwa sababu ni jambazi au ameumia katika tukio la jinai au uhalifu ni UDHAIFU MKUBWA SANA WA KIFIKRA, hakuna sheria yoyote inayosema Jambazi akiumia aachwe afe.
Ali anatakiwa kutibiwa ili akipona afikishwe kwenye vyombo vya sheria kujibu tuhuma.
Likiwa jiji lazima iwepo mamlaka ya jiji, hapo ndo Rais hataki hayo matumizi yasiyo na lazima.
Kwa Jiji kuwa Ilala maana yake watendaji wote wa Ilala watabaki kuwa wale wale kuanzia Mkurugenzi mpaka Meya. Tofauti ni kuwa sasa watakuwa sio manispaa tena bali Jiji. Ni jubadilisha Mihuri tu na...
Kama nimekuelewa hivi, kwa sababu ukisema jiji la Dar es salaam ni Manispaa ya Ilala maana yake jina moja hapo litakufa automatically.
Dar es salaam inabaki kama mkoa, Ilala jiji zilizobaki Manispal Council
Umeombwa kuchangia dawati unasema michango mingi bora ungelipa ada.
Haya tutajie na michango mingine uliyoambiwa na kiasi gani kwa kila item.
Sio unakuja kudanganya watu hapa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.