Recent content by hozev_tarimo

  1. H

    JamiiForums Tanzania Baisaa Ya Oman

    Jichekeshe kama umetiwa kidolee vilee..
  2. H

    JamiiForums Tanzania Baisaa Ya Oman

    Niliokoo nayo imeandikwa baisa100 ndio maana.
  3. H

    JamiiForums Tanzania Baisaa Ya Oman

    vipi na inakuwaje inaitwa Baisa..?
  4. H

    JamiiForums Tanzania Baisaa Ya Oman

    Sijaelewa hii imekaajee niko na riyal 1 ya oman na riyal 5 ya saudi Arabia na Baisa 100 ya Oman vipi kipi ni kipi na haitumikii kivp..naomba nileweshe samahani
  5. H

    JamiiForums Tanzania Baisaa Ya Oman

    Sijaelewa hii imekaajee na niko na riyal 1 ya oman na riyal 5 ya saudi Arabia vipi kipi ni kipi
  6. H

    JamiiForums Tanzania Baisaa Ya Oman

    Sijaelewa hii imekaajee na niko na riyal 1 ya oman na riyal 5 ya saudi Arabia vipi kipi ni kipi
  7. H

    JamiiForums Tanzania Baisaa Ya Oman

    niko na baisa 100 jombaa inakataliwaaa ndio maana nashangaa ni sawa na laki 6 na 50
  8. H

    JamiiForums Tanzania Baisaa Ya Oman

    na exchange wapii.??
  9. H

    JamiiForums Tanzania Baisaa Ya Oman

    ndio ya oman Baisa nafanyajee.?
  10. H

    JamiiForums Tanzania Baisaa Ya Oman

    kwa nini hawataki..?
  11. H

    JamiiForums Tanzania Baisaa Ya Oman

    ?? jibu lipi hapo
  12. H

    JamiiForums Tanzania Baisaa Ya Oman

    Elewa swali uliza swali.. Ukianza kuliza nimepata wapi haisaidii.
  13. H

    JamiiForums Tanzania Baisaa Ya Oman

    Kuwa serious na hitaji msaada bro
  14. H

    JamiiForums Tanzania Baisaa Ya Oman

    Nime enda exchange jana Kariako na bank ya Azania wamesema hawa exchange Baisaa sehem mbili wamekataaa ndio nashangaaa
  15. H

    JamiiForums Tanzania Baisaa Ya Oman

    Samahani wadau mimi na Baisa 100 ya Oman jee ni wapi naweza exchange Nime endaa badhi ya exchange za Tanzania zinakataa nafanya vipi?
Back
Top Bottom