Recent content by how tulikuwa watumwa

  1. H

    JamiiForums Tanzania Israel inalindwa sababu ni mtego wetu Waafrika

    So you mean na Ukraine ni taifa la Mungu sababu wao wanasaidiwa na mana unasema Israel kusaidiwa na Marekani ni sababu Mungu anawaelekeza kiroho pia vip nchi zisizo saidiwa kama congo ulivyo sema unamaanisha Mungu ameamua kuwaacha waangamie watoto wasio na makosa?
  2. H

    JamiiForums Tanzania Israel inalindwa sababu ni mtego wetu Waafrika

    Cha kufanya anza leo kuandaa kizazi chako kiwe bora kiepukane na izi propaganda ili Afrika tuendelee usiamin Duniani tunapita ila amin kua kizazi chako kitakuepo milele na usikubali kizazi chako kiwe moja ya vizazi pumbavu apo baadae so wake up now
  3. H

    JamiiForums Tanzania Israel inalindwa sababu ni mtego wetu Waafrika

    Ujerumani ndio nchi yenye uchumi mkubwa Ulaya na Israel mpaka itakufa haito mfikia Ujerumani pia Ujerumani alipigwa sababu sio kuuwa Wayahudi bali kuzivamia baadhi ya nchi ili azitawale msisome Biblia tu somen na historia
  4. H

    JamiiForums Tanzania Israel inalindwa sababu ni mtego wetu Waafrika

    Hawa walikufundisha din baada ya kukupa uhuru wa kimwili ila wakakupa utumwa wa akil yani unaona upo sawa kumbe bado wewe ni tahira huwez fanya maamuzi kisa unaogopa utachomwa uku wao wanakuchoma Duniani wewe unasubiri mabikra 9mbingun
  5. H

    JamiiForums Tanzania Israel inalindwa sababu ni mtego wetu Waafrika

    Kama mwamposa anaweza kutumia mchanga na maji kumaliza matatizo ya binadamu why taifa la Mungu Israel linatumia mabomu na risasi kuvishinda vita wakat Mungu ni mwenye nguvu labda angetuma hata malaika au upako
  6. H

    JamiiForums Tanzania Israel inalindwa sababu ni mtego wetu Waafrika

    Brain kamas
  7. H

    JamiiForums Tanzania Israel inalindwa sababu ni mtego wetu Waafrika

    Sasa Israel ni taifa kubwa?
  8. H

    JamiiForums Tanzania Israel inalindwa sababu ni mtego wetu Waafrika

    Yote ni maubil ila kwenye Uislamu hawamtambui iran kama muislamu sababu ni mshia
  9. H

    JamiiForums Tanzania Israel inalindwa sababu ni mtego wetu Waafrika

    Bado uko mbali sana ndiomana Israel haitakiwi kupigwa sababu ya kulinda izo fikra ulizo nazo
  10. H

    JamiiForums Tanzania Israel inalindwa sababu ni mtego wetu Waafrika

    Wewe ni mlengwa wao huwezi kuelewa umeshakua adikted na maubil
  11. H

    JamiiForums Tanzania Israel inalindwa sababu ni mtego wetu Waafrika

    Kwaio Israel inalindwa na mungu?
  12. H

    JamiiForums Tanzania Israel inalindwa sababu ni mtego wetu Waafrika

    Wote is same situation but main target is African sababu viongozi wa Afrika kwa asilimia kubwa hufanya maamuzi kwa miemko ya kidini
  13. H

    JamiiForums Tanzania Israel inalindwa sababu ni mtego wetu Waafrika

    Lio
  14. H

    JamiiForums Tanzania Ukienda sheli usiseme weka full tank unaitwa mwambie hivi

    Hunaelewa bado nasema ivi mfano umepita petro station ya nyuma ukajaza labda lita 20 na gari yako full tank ni litter 40 ukienda sheli ingine kujaza mafuta hata kama hujatembea umbali mkubwa labda umehama tu ukiweka mafuta full mashine lazima itapitiza pale mwisho wa tank lako yan uki jumlisha...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Ukienda sheli usiseme weka full tank unaitwa mwambie hivi

    Apo unaibiwa kwa namna hii full tank yako ni little 50 nenda na lita ishirini kwenye gar alafu waambie wakuwekee full tank uone itaingia lita ngap ukifanya ivyo utajua how unaibiwa mana full tank itakuja litter 50
Back
Top Bottom