We are looking two persons who have the qualification of enviromental studies from any reputable institution with certificate or diploma for our project located at Geita urbun area.if you see you have the mentione criteria send your full application to tenassociate@gmail.com cc to...
Habarini za muda huu tunashukuru kwa suport yenu tumepata mtu ambaye amechujua nafasi ya hitaji letu shukurani sana kwenu nyote na jamii forum kwa ujumla...asante
Habarini kama kichwa kinavyojieleza tunahitaji mtu mmoja wa kufanya site reprentative tipper office Kigamboni DSM dated 28/07/2023 time 10:30 am
Uwe na vitu hivi personal prptective equipment.
1. Steel toe safety boot
2. Cotton overcoat
3. Helment
Representing company
Ten associates
P.O.Box...
kozi hii inatolewa na vyuo vya MUST, ujenzi moro na ATTI mbeya kozi hizi ni maalum kwa kandarasi za kazi maalum (Specialist contractor) za barabara, zipo za umeme pia na zinaruhusiwa kufanya kazi/tendering worth up to tsh.300mil kwa vikundi, companies, partners zinafaida sana kwa wanaotaka...
kama kuna mwenye kazi za brela,tic,osha,wcf au yoyote unayoiona ni kichomi na mteja ana presha ya juu we tuwasiliane lakini tunamkataba lazima tuingie mimi na wewe pia kama unajua una connection ya kazi hizi njoo na terms zako za kufanyia kazi.
Habarini nahitaji mtu mmoja aliye karibu na ofisi za Halmashauri ya Sikonge tabora mwaminifu nahitaji anisaidie kuchukua nyaraka pale ofisi ya halmashauri nitagharamia na kumuwezesha tafadhari nichek 0626402722 muhimu sana leo au kesho ikifika tarehe 21/6/2023 zoezi hili litakuwa limefeli asanteni
usipoteze maana typing error siyo jambo la kutaka kufanya maana kusudiwa iharibike hii ndiyo maana sababu ya wengi kama nyie mnakuwa mwishoni mwa mafanikio kwasababu mnaanza kuangalia kakosea wapi na siyo key success point badirika na wale wanaotumia r au ntu?
habari yako nimesoma thread yako mimi pia ni consultancy kwa muda zaidi ya muongo mmoja sasa ukihitaji saport ya kukimbiza kazi tafadhari usisite kuwasiliana nasi kwa namba hizi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.