Recent content by Horoya fan

  1. Horoya fan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii sio Haki, Wakati kondeboy akikunja mil 25, Rastaman yeye anakula mil 4

    Una mtindio wa ubongo? Mchezaji asiye na mchango kwenye timu anakuwaje na thamani kuliko mchezaji tegemeo wa timu? Football is all about present achana na historia
  2. Horoya fan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii sio Haki, Wakati kondeboy akikunja mil 25, Rastaman yeye anakula mil 4

    Mtu anayesugua benchi anapata zaidi ya mara 6 ya mshahara wa mvuja jasho mkuu wa timu? Hii kitaalam tunaitaje wakuu?
  3. Horoya fan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tetesi: Kiungo konokono awazimia simu viongozi

    Leo umewaamkia hawa mbumbumbu
  4. Horoya fan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kuna Sababu zozote kwa Simba kuacha kuutumia Uwanja wa Chamazi?

    Simba hamna viongozi hapo mzee, wote ni la 7b, unategemea wafanye maamuzi ya ki chuo kikuu
  5. Horoya fan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hili hapa kombe la Caf Confederation Cup ambalo Yanga anaenda kulibeba

    Liwake jua inyeshe Mvua ilo kombe lazima lije [emoji1241][emoji1241]
  6. Horoya fan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi ile kampeni ya Simba kujenga Uwanja wake imeishia wapi?

    Rage alishamaliza kila kitu unapoteza tu mda wako bure
  7. Horoya fan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania FT: Wydad Casablanca 1-0 (Penati 4-3) Simba S.C | CAF Champions League | Simba yaondolewa kwa mikwaju ya penati

    Wydad Africans ni ngugu zetu kabisa, Kila la kheri kwao
  8. Horoya fan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania FT: Wydad Casablanca 1-0 (Penati 4-3) Simba S.C | CAF Champions League | Simba yaondolewa kwa mikwaju ya penati

    Zombi ni wee usijejua kuandika. Nimefunga mjadala na memkwa
  9. Horoya fan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania FT: Wydad Casablanca 1-0 (Penati 4-3) Simba S.C | CAF Champions League | Simba yaondolewa kwa mikwaju ya penati

    We memkwa dio unifundshe shule mm[emoji706]
  10. Horoya fan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania FT: Wydad Casablanca 1-0 (Penati 4-3) Simba S.C | CAF Champions League | Simba yaondolewa kwa mikwaju ya penati

    Kaudundishe huo mpila ziwani uone km utadunda, acheni kujifaliji na tim lenu bovu
  11. Horoya fan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania FT: Wydad Casablanca 1-0 (Penati 4-3) Simba S.C | CAF Champions League | Simba yaondolewa kwa mikwaju ya penati

    Leo Wydad watatulipia goli zetu, mlituzalilisha sana sis washabiki wa horoya, Leo zamu yenu yakuzalilishwa, 8-0
  12. Horoya fan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania FT: Wydad Casablanca 1-0 (Penati 4-3) Simba S.C | CAF Champions League | Simba yaondolewa kwa mikwaju ya penati

    Nimeambiwa na Babu kuwa magoli yamepungua, itakuwa ni Wydad 5-simba
  13. Horoya fan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania FT: Wydad Casablanca 1-0 (Penati 4-3) Simba S.C | CAF Champions League | Simba yaondolewa kwa mikwaju ya penati

    Kila la kheli Wydad timu yangu ya utotoni. FT: Wydad 9-0 simba
  14. Horoya fan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuelekea Wydad vs Simba iyo ijumaa hebu tupia utabili wako

    Wakipigwa 8-0 itapendeza maana kisasi chetu horoya kitakuwa kimelipwa na Moja la ziada
  15. Horoya fan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Swali kwa Wana Simba, Je Uzi wa live Updates Wydad vs Simba niuanzishe lini?

    Polee in advance [emoji23][emoji23] maana mtachapika sana
Back
Top Bottom