JIUNGE NA HOPE NA SUCCESS CLUB (HIP CLUB) KWA MAFANIKIO YAKO
1. UTANGULIZI
HIP Club ni chama cha kijamii kilichoanza kazi zake tarehe 3 Machi 2014 na Kupata usajili kwa mujibu wa sheria ya usajili wa vyama vya kijamii nchini tarehe 31 Machi 2015 kikiwa na Wanchama waanzilishi 14. Na sasa...
Mkuu si kweli unachozungumza kulichopo hapo ni kuwa usajili ni kwa umri huo lakini Mwanachama anabaki na uanachama wake na unaridhishwa kwa mtu mweingine inamaana wewe unautumikia, Mwanao etc so si wa miaka mitatu hiyo niyo interval ni kwa ajili ya usajili wa wanachama
Mkuu samahani management ya vyama vya kijamii vinachangamoto kubwa hivyo ni lazima muwe na kanuni imara. Aidha, hicho kigezo kipo kwa wanachama tutakaowapata kwa njia hii ya mtandano tu.
Mkuu hii ishu ya umri inazungumzika lakini njia hii ya kupata wanachama kwa njia ya mtandao ina changamoto zake sana ndo maana tukaingiza hako akipengele kwenye kanuni zetu lakini katiba mwanachama anatakiwa kuwa na zaidi ya miaka 18
JIUNGE NA HOPE NA SUCCESS CLUB (HIP CLUB) KWA MAFANIKIO YAKO
1. UTANGULIZI
HIP Club ni chama cha kijamii kilichoanza kazi zake tarehe 3 Machi 2014 na Kupata usajili kwa mujibu wa sheria ya usajili wa vyama vya kijamii nchini tarehe 31 Machi 2015 kikiwa na Wanchama waanzilishi 14. Na sasa...
JIUNGE NA HOPE NA SUCCESS CLUB (HIP CLUB) KWA MAFANIKIO YAKO
1. UTANGULIZI
HIP Club ni chama cha kijamii kilichoanza kazi zake tarehe 3 Machi 2014 na Kupata usajili kwa mujibu wa sheria ya usajili wa vyama vya kijamii nchini tarehe 31 Machi 2015 kikiwa na Wanchama waanzilishi 14. Na sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.