Habari za usiku ndugu wanaJF wenzangu ambao bado tuko jicho mpka mida hii. Lengo la uzi huu ni kujuzana na kupeana elimu juu ya mfumo wa malipo wa Gpay unaomilikiwa na kampuni ya google.
Kwa yeyote mwenye uelewa kuwa free kutujuza. Maana teknolojia inakuwa kwa kasi sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.