Search results

  1. Hons

    Unafahamu nini kuhusu mfumo wa malipo wa Gpay?

    Habari za usiku ndugu wanaJF wenzangu ambao bado tuko jicho mpka mida hii. Lengo la uzi huu ni kujuzana na kupeana elimu juu ya mfumo wa malipo wa Gpay unaomilikiwa na kampuni ya google. Kwa yeyote mwenye uelewa kuwa free kutujuza. Maana teknolojia inakuwa kwa kasi sana
  2. Hons

    Natafuta nyumba ya vyumba vitatu Dar es salaam

    Habarini zenu wanajamvi. Natafuta nyumba ya kupanga yenye vyumba vitatu. Nyumba isiwe mbali kutoka chuo kikuu cha muhimbili.
Back
Top Bottom