Recent content by honory

  1. H

    JamiiForums Tanzania Hii project ya Tanzania Democracy Support Project ipo?

    jamani embu kabla ya kucrash hiyo programu tufanye utafiti wa kina maana naona wengi kwakuwa wamesema utagharimia verification cost ya certificate watu mnaanza kuwa na negative perception, embu tuwe wadadisi, kuna msemo unasema uwoga wako ndio umaskini wako.
Back
Top Bottom