Recent content by Hondace

  1. H

    JamiiForums Tanzania Mh. Rais Magufuli tusaidie tulipwe mafao yetu!

    Kwako mpendwa Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania, hongera kwa kazi nzuri unayoifanya! Binafsi naridhishwa na kasi uliyonayo ya kutuletea maendeleo. Nimefuraishwa pia na kutetea haki za wafungwa waliofungwa kiuonevu. Nakuomba uingilie kati kututetea wanyonge tunaosumbukia kufuatilia mafao...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Tafadhali nisaidie ni wapi ninaweza kupata mkopo wa haraka kwa masharti nafuu

    Nilitegemea sana NSSF ingenisaidia lakini sasa nimegundua I was so wrong! Sielewi kuna shida gani pale NSSF!!
  3. H

    JamiiForums Tanzania Tafadhali nisaidie ni wapi ninaweza kupata mkopo wa haraka kwa masharti nafuu

    Nashukuru sana kwa ushauri wako mzuri lakini sina jinsi. Ni bahati mbaya sana sikujijengea utaratibu wa kusave nilipokuwa nikipata pesa na sasa during rainy season I have nothing! Unadhani naweza kupata mtaji kwa njia tofauti na mkopo?
  4. H

    JamiiForums Tanzania Tafadhali nisaidie ni wapi ninaweza kupata mkopo wa haraka kwa masharti nafuu

    Habari, poleni na majukumu ya siku nzima. Inawezekana ukawa suluhisho la tatizo langu la kupata mkopo. Maisha yamenipiga sana baada ya kuachishwa kazi na sasa ninakusudia kuanzisha biashara ili niweze kuanza kwa upya. Tafadhali nisaidie ni wapi ninaweza kupata mkopo wa haraka kwa masharti nafuu...
Back
Top Bottom