Kinahitajika kiwanja maeneo ya kinyerezi majumba sita au Tabata kiwanja kwa ajili ya ujenzi wa kanisa ukubwa ni 25 mita kwa 25 mita njoo na ofa yako kiwanja kiwe karibu na bara bara mita 2 kutoka barabarani.
Nicheki whatsapp 0789435341
inauzwa hii...[emoji116]
Nisaidie nipate Mteja nipo. Dar Mbagala ya Chamazi
Iphone 6 Plus
Storage 64
Colour Gold
ina minor crake isiyo na madhara
Battery Health 100%
Fingerless.[emoji419]
Bei Laki Mbili tu( 200000/= )
Tupigie WhatsApp/Normal kwa 0656391899
Nafanya Derivery ndani ya Dar
Kwenye taasisi yeyote ya kifedha niko tayari kufanya kazi sichagui Mkoa popote nafika Naomba waungwana mnisaidie, Mambo kwa ground ni Magumu na ninahitaji kusaidia familia
NB: Kazi Yeyote halali nafanya Elimu yangu Diploma ya Sheria Nipo Dar es salaam
Mawasiliano yangu 0656391899
Hongera kwa wale wote walionitafuta kuwapa Msaada baada ya Kuitwa kwenye Usahili wa self Microfinance.
Naombeni kazi jamani kwa ground Mambo ni Magumu mno (Hope Mnaelewa Mazingira Yalivyo) Kazi hizi nina uzoefu nazo Loan officer au Credit officer taasisi yeyote ya kifedha nipo willing kufanya...
Majukumu yako ni haya then mara nyingi wanatoa mikopo kwa vikundi na wafanyakazi wa serikali
Evaluates loan applications and documentation by confirming credit worthiness.
Improves loan applications and documentation by informing applicant of additional requirements.
Rejects loans by...
Loan Officer, Credit Officer or Head of Branch kwenye Microfinances tu or any legal work
NB:NIKO NA UZOEFU NAZO
Nimeambatanisha Wasifu Wangu
Wako Mtiifu
0656391899, 0789435341
DAR ES SALAAM.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.