Hana lolote angejenga barabara za juu ili iwezekane kufika huko kwa dk 20 kutoka ofisini kwao Magomeni ndipo awaadhibu iwapo wameshindwa, nani hajui foleni za Dar umdhalilishe mtu kwa sababu za aina hiyo? Sifa zingine bana. Yaani Kwa vile ameona mwenzake amewafukuza madaktari na yeye ndio...
Kwa mfumo wetu wa malipo hapa Tanzania ni ndoto za mchana kutekeleza jambo hilo, process za malipo hadi kukamilika sio jambo rahisi hata kidogo, labda kama tunazungumzia taasisi ndogo ndogo zenye ajira ya watu kati ya 10-100, tambua ya kwamba mchakato wa malipo ya watumishi wa serikali unaanzia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.