Recent content by homeboy41

  1. homeboy41

    JamiiForums Tanzania Tatizo la acid reflux

    Asante sana kaka Kwa ushauri wako nitafanya hivyo nitahakikisha nafuata ushauri wako
  2. homeboy41

    JamiiForums Tanzania Tatizo la acid reflux

    Kwa Imani yangu nidhambi kaka kutumia pombe
  3. homeboy41

    JamiiForums Tanzania Tatizo la acid reflux

    Kwa siku nakula Milo 3 chai cha mchana na dinner usiku Nna kio 75 Urefu wangu futi 5.5
  4. homeboy41

    JamiiForums Tanzania Tatizo la acid reflux

    Kwa Sasa Sina hiyo hela
  5. homeboy41

    JamiiForums Tanzania Tatizo la acid reflux

    Habari za Leo wakuu. Mimi ninasumbuliwa na acid reflux yaani mapigo ya moyo yanaenda Kasi Sana afu tumbo kujaa gesi kiungulia Kwa Sana afu unakuta Koo linakuwa la moto Sana unajikuta unakunywa maji Sana afu ata nguvu za kiume zinakosekana pia chini ya uti wa mgongo karibia na kiuno kunawaka...
  6. homeboy41

    JamiiForums Tanzania Simu zinazodaiwa ni Used kutokea Dubai na Korea ni nzima au tunapigwa?

    Aiseee kazi kweli kweli
  7. homeboy41

    JamiiForums Tanzania Simu zinazodaiwa ni Used kutokea Dubai na Korea ni nzima au tunapigwa?

    Itakuwa amekosea tu kwenye kuandika
  8. homeboy41

    JamiiForums Tanzania Simu zinazodaiwa ni Used kutokea Dubai na Korea ni nzima au tunapigwa?

    Oya huko wanauza bei Chee au vip
  9. homeboy41

    JamiiForums Tanzania Simu zinazodaiwa ni Used kutokea Dubai na Korea ni nzima au tunapigwa?

    Vip kuhusu uhai wa betri
  10. homeboy41

    JamiiForums Tanzania Simu zinazodaiwa ni Used kutokea Dubai na Korea ni nzima au tunapigwa?

    Habari za Leo Wana jamvi. Hivi simu hizo wanazotuambia wanaagiza from Dubai Korea Japan n.k hivi Zina uhai wowote au tunapigwa tu. Nataka ninunue Samsung note 10 au Aquos R6 hiz wanazosema ni used from Dubai. Au kama Kuna link ya kununua Moja Kwa Moja kutoka Dubai mnipe hapa Naombeni mawazo yenu
  11. homeboy41

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa kuku wa mayai

    Nashukuru sana kaka Kwa kunipa madini haya[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
  12. homeboy41

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa kuku wa mayai

    Mtam sanaaa
  13. homeboy41

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa kuku wa mayai

    Habari za Leo wajasilia Mali. Mimi ni mfugaji wa kuwa nyama, hupendelea sana kufuga kuku aina ya sasso Kwa sababu hawashambuliwi sana na magonjwa. Sasa Leo nilikuwa naomba elimu kwenye nataka nianze kufuga kuku wa mayai. Maswali yangu yanayosumbua sana kichwa changu ni haya. 1. Je kuku wa mayai...
Back
Top Bottom