Recent content by homeboy frankie

  1. H

    Nimekata tamaa

    asa ww umeanza juzi unakata tamaa, wenzio tuna mwaka wa pili sasa. usikate tamaa ndugu yangu asa hivi tafuata kazi yoyote itakayokupa kuishi wakati unasaka ajira, hata kama ni kupiga tofali kaka usichague kwa sasa. utapata kazi just b mvumilivu. wenzio walikaa miaka mitano ndo wakapata bt...
  2. H

    Job opportunity plz

    Kama hujisikii kumsaidia, mkaushie kamanda. Atasaidiwa na walio willing. Wht if angekuwa mwano?
Back
Top Bottom