Recent content by holypotato

  1. H

    JamiiForums Tanzania Prof. Kitila na Machawa, jibuni maswali haya mepesi kuhusu DP World

    Nani atamzuia? Umesahau kuna kiongozi alisema ushindi unategemea anayehesabu kura na sio idadi ya kura... tafakari...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Kinachotushinda Wabantu kuchora na kupanga miji ni nini?

    Tunamudu kuwadhibiti Chadema na kutukuza viongozi...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Nilifunga ukurasa wa kutapeliwa lakini nimetumbukia tena

    Umetapeliwaje? Weka wazi ilivyotokea
  4. H

    JamiiForums Tanzania Tuangalie Uwezekano wa Mfumo wa Kidigitali Katika Kupiga Kura Tanzania: Kwa Nini Tunahitaji Mfumo wa Kidigitali?

    Ni wazo Zuri ambalo halitakubaliwa kamwe.. maana kuna wanufaika wakubwa wa udhaifu uliopo. Changamoto nyingine ni kuwa sio watu wote wana smart phone za kuscan QR code, japokuwa hii haiwezi kuwa kikwazo.
  5. H

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Wapiga kura, hakikisheni mnapiga kura kwa serikali iliyopo, viongozi mbadala hawana rasilimali za kutekeleza wanayoyaahidi

    Hao unaowatetea wapo kwa asilimia 99.99... tuwapime walichofanya ndani ya miaka 5...
  6. H

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Kuelekea Uchaguzi Serikali za Mitaa: CCM, raia wamewachoka badilikeni kabla mambo hayajaharibika

    Huo usahihi unaangaliwa kwenye kitu gani? Wapigwe, wanyimwe haki zao za kisiasa, waminywe, na wengine kupotezwa, bado utegemee kuona usahihi upi? Hii nchi kiuhalisia upinzani haurusiwi, yaliyopo ni geresha tuu.
  7. H

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu nafahamu kiasi gani cha pesa kimetumika kufanya Land Rover Festival ya Arusha?

    Nadhani Washiriki wanajigharamia wenyewe kwa haitakuwa gharama kubwa... Sema tuu kama kutakuwa na usumbufu wa watumiaji wengine wa barabara ndio itakiwa indirect cost...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Sativa amezungumza mengi kuhusu waliomteka. Je, nani amefikishwa mbele ya sheria mpaka sasa?

    Ukisikiliza hii clip utajua nini cha kutarajia kutoka kwa wenye mamlaka ya kuchunguza na kuchukua hatua... https://youtu.be/zV1upUceDPM?si=xx4T7auTpQy017Fu
  9. H

    JamiiForums Tanzania Lengo la kuanzishwa TAKUKURU lilikuwa ni nini?

    Ukimaliza jiulize na TBS nayo lengo ilikuwa nini? Kukusanya mapato? Au?
  10. H

    JamiiForums Tanzania Kwa ilipofikia CHADEMA, nashauri Lissu aanzishe chama chake

    Hao wafuasi wanashindwa nini kupiga kura kuchagua mkiti mwingine??
  11. H

    JamiiForums Tanzania Kwa ilipofikia CHADEMA, nashauri Lissu aanzishe chama chake

    Ushauri wa hovyo. usio na tafakuri ya kina.
  12. H

    JamiiForums Tanzania Michango ya Gari Jipya la Tundu Lissu yazidi kusonga mbele, Vigogo waanza kutoa vitita vizito

    CCM mna akili za kifisadi sana..... sasa ulitaka watumie hela za chama kumnunulia mmkiti gari? Ndio unaona ingekuwa matumizi bora hayo??? Na kama ingefanyika hivyo mngekuwa wa kwanza kuruka hewani na lawama za ufisadi ndani ya CDM, viongozi watumia mamilioni kujinunulia magari.....
  13. H

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu toa ushauri kusaidia Nchi ishinde kesi kimataifa na kufufua shirika la ndege

    Maji yamekuwa ya shingo nini? Wako wapi waliokiwa wanashangilia kununua ndege bila mpango, na wale wa mikataba ya siri? Nafikiri hawezi kutoa ushauri wa kitaalamu bila kuona mkataba na mwenendo wa kesi. Kama kweli utaalamu wa Lissu unahitajika wahusika wanajua jinsi ya kum.engage.
  14. H

    JamiiForums Tanzania Sheikh asema bima zote ni haramu

    Kwa jinsi nionavyo mimi, ukishajiunga na Bima maana yake umetoa ridhaa haki kutumika kutibia wengine wenye uhitaji kwa wakati huu na wewe ukiwa na uhitaji utatumia za wengine. Ndio basic principal ya Bima ilivyo. Sasa hapo kusema kuwa haki ya mtu imetumiwa bila Ridhaa yake inatoka wapi? Kujiunga...
  15. H

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU njooni Uyui mfuatilie chagamoto zilizopo kwenye ukaguzi wa Majengo

    Sasa kwa nini unataka kazi yako ipokelewe ikiwa na mapungufu (hoja). Haiwezekani kukamilisha majengo hayo bila mapungufu ili usitoe hizo 500k?
Back
Top Bottom