Recent content by hofoli

  1. H

    JamiiForums Tanzania Fumanizi

    Kama huyo kaka anajua kusoma na kuandika basi ampe talaka ya maandishi mwenza wake halafu yeye abaki njia kuu coz mwenzake kafagilia michepuko ambayo sio dili kwa sasa.
  2. H

    JamiiForums Tanzania Haka katabia kanaongeza nini katika mahusiano ya kimapenzi.??

    Duuu kwahiyo sisi wakuliya hatujui kubembeleza sio. Mbona mpenzi wangu ananiappreciate pindi ninapotumia sauti ya kipolisi nikimuita. Mfano; Baby, haraka, njoo hapa!
Back
Top Bottom