Kwetu unyamwezini kuna falsafa moja inasema: 'hawi lingi ndoho igongozi', yaani 'kwenye ngoma za ushindani, malenga wanaoshindana huwa hawamwagiani sifa'. Lakini hii hutokea tu wakiwa jukwaani, nje ya hapo, ni ndugu na wanazungumza na kushirikiana tu. Nadhani falsafa hii inafanya kazi kwenye...
Na. Dkt. Hamisi Kigwangalla.
Uchaguzi Mkuu Tanzania, mwaka 2015 umeisha salama. Tunamshukuru Mungu kwa kuwapa watanzania hekima na busara ya kushiriki mchakato huu kwa amani na utulivu mkubwa. Ushindani ulikuwa mkali sana kuliko wakati wowote ule katika historia ya nchi yetu. Ushindani ndiyo...
chambueni mtoe mawazo yenu siyo kuleta uvivu wa kusoma hapa...nchi haiwezi kujenga kwa uvivu uvivu na vijembe vya hapa na pale...
Hata hiyo mission yenu ya kutaka mabadiliko haiwezi kufana kama mnakuwa wavivu wavivu namna hii...
Ukweli ni Mmoja tu na Haubadiliki: CCM ya Magufuli ni CCM ya Mabadiliko!
Na Dkt. Hamisi Kigwangalla
Makala, Raia Mwema, Sept 9, 2015.
Leo nimeamka nikifikiria kuandika tena. Mzuka wa kuandika nimeupata kutokana na hoja zinazoukumba wakati tulionao, wakati wa uchaguzi – ambapo makada wa...
Amani, CCM inaanzia wapi kulia lia...
Kwa mara ya kwanza katika historia ya siasa za ushindani, chama kikuu cha upinzani na washirika wake wamegeuka kuwa wanaojitetea na kujisafisha badala ya washambuliaji na wanaochafua...sasa mnashindaje uchaguzi kwa namna hii?
Katika mfumo wa soko huria, wewe kama wewe umejifanyia nini ukafanikiwa, umeifanyia nini familia yako na umelifanyia Taifa lako? Maana tunakutegemea wewe utoe mchango wa kukuza uchumi na kulijenga Taifa...what have you achieved so far? Au unasubiri CCM ikuletee mabomba ya maziwa na mvua za...
Safi. Umejadili kwa hoja nitakujibu kwa hoja vile vile.
Kwamba, kwanza umesahau kuwa usajili wenu wa Lowassa na Sumaye umekuja na kuondoka kwa Lipumba na Dr Slaa? Tafakari...lakini pia ujio wa hao watu wawili na kuaga kwa hao wawili kumeondoka na credibility, legitimacy na hoja kuu iliyowajenga...
Wasomi na CCM: Tutimize wajibu wetu mwaka 2015!
Imeandikwa na Dkt. Hamisi Kigwangalla.
Kuna mtu amesema uchaguzi wa mwaka 2015 ni kipimo kikubwa kupata kutokea nchini cha imani ya watanzania juu ya chama hiki kikongwe, chenye sura ya kitaifa, chenye historia ya kusimamia ukombozi wa nchi...
Namba huwa hazisemi uongo...wiki mbili zijazo nisome ntakupa tathmini yangu kutokana na numbers, leo nimefanya analysis on normative value, kwenye andiko langu two weeks zijazo, nitakupa numbers
Edward Lowassa, Anguko la Upinzani Nchini Na Hadithi ya Bora Shetani Nimjuaye Kuliko Malaika Nisiyemjua!
Raia Mwema Agosti 26, 2015.
Nimekuwa na siku nyingi kidogo sijaandika. Leo nikiwa Arusha nikitokea msibani Usangi kumzika Mzee wetu na muasisi wa TANU na CCM, Mzee Peter Kisumo, nilikutana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.