hebu watoe watanzania hilo giza kwa unalolijua...watanzania sasa ivi wanatakiwa kurejeshewa imani kuwa benki ni mahali salama pa kuweka pesa zao...watu wengi wamepoteza imani na usalama wa fedha zao kwenye benki zao. jamani watu wanalalamika sana hata huko mitaani...jamani mliyo katika sekta ya...
Mwana jf, kweli mi ndo nimeisoma hii issue kwenye raia mwema na inauma kuona pesa nyingi kiasi hiki zinaibiwa na watu walio wachache...na kama ni kweli basi haina budi exim warudishe hizi hela. Bona pia wamewashtaki wafanyakazi wao waliohusika na wizi huo? kwa ufahamu wangu kidogo mimi naona...
Kwa hiyo mkuu kuna joining date katika jf ili uhalali wako wa kutoa maoni uonekane? Wewe vipi bana, unaniambiaje mimi niliye join karibuni? Umenikera mwana jf...au na wewe ni mfanyakazi au kibaraka wa exim nn? Waache watanzania wa join everyday na watimizi right yao ya kutoa mawazo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.