huyo mke aliyeolewa ni bi mdogo na hawakufunga ndoa coz jamaa alikuwa mkristo (RC) na mke mkubwa wa ndoa ndiye alibaki na familia yake, so kwa mantiki hiyo huyo bi.mdogo ambaye hana cheti cha ndoa na ameshaolewa kwa mme mwingine still ana haki ya kudai? then huwa hakuna expire kwa mirathi au...
Naombeni wanasheria mnisaidie, kuna familia ilifiwa na baba tangu mwaka 2002 na kila ilipojaribu kufuatilia mirathi imekuwa ikizungushwa hadi ikakata tamaa.
1. Je, kwa muda huo mirathi bado ipo au itakuwa ime-expire?
2. Huyo baba alikuwa na wake wawili, alipofariki mke mdogo ambaye walikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.