Recent content by hii hatari

  1. H

    Mshahara jeshi la Polisi

    Angalieni kwenye Youtube Pombe si supu
  2. H

    Mshahara jeshi la Polisi

    Nilikuwa nataka kutuma video jaamaa alivyokunywa pombe inavyo msumbua nimeshidwa kama kuna mtaaalam anipe maelekezo asante
  3. H

    Mshahara jeshi la Polisi

    Hivi kweli pombe pia inafaa iwekwe kwenye katiba mpya kuwa ni madawa ya kulevya jamani haaa angalie hii Du ni noma
  4. H

    Mshahara jeshi la Polisi

    Du! Aise kama ni mshahara ni huo 80000 kwa kweli polisi kisheria anafaa Achunge Raia na mali zake je kwa hali hiyo watatuchunga au watatuchuna Ukweli? Tunaomba muheshimiwa Rais ungewaangalia hata kima cha chini kabisa wangepewa laki tano halafu hii katiba mpya ipitishe Miraaa watu wale kama...
  5. H

    Msaada jamani vyakula vya kutumia kupunguza gesi tumboni

    Na kingine muhimu sana kila baada ya masaa mawili ule kitu na kabla hujala unatanguliza hayo maji naomba fanya hivyo kwa uwezo wake mola ikawa dawa pia na kwako asante na pole kwa kuanza na jokes
  6. H

    Msaada jamani vyakula vya kutumia kupunguza gesi tumboni

    Sasa ukiwa unagesi inasumbua tunashauriwa kuaanza kunywa maji kabla ya chakula na hakikisha kwa siku unanywa maji lita tano sawa muheshimiwa unipe report halafu
  7. H

    Msaada jamani vyakula vya kutumia kupunguza gesi tumboni

    Samahani naomba niulize swali hiyo gesi yako ni ya wapi? Mtwara au Lindi?
  8. H

    Kero hii Uwanja wa Ndege JNIA

    Du! Muheshimiwa hapo tupo pamoja swala la kodi kweli ni muhimu tunaipenda sana serekali yetu hii ya ikusanye kodi isaidie jamani mahospital hivi mkuu unaatarifa leo hii mtanzania mafigo ya feli yuko kijijini au mjini tu muheshimiwa hatuombia lakini ndio hali halisi anaesabu siku tu hakuna...
  9. H

    Kero hii Uwanja wa Ndege JNIA

    Au wataalam watupe maelezo vizuri kwanini watanzia hatuulizwi kadi ya polio lakini wenzetu wengine wa East Africa wanaulizwa tena wanasumbuliwa sana swali lijibiwe kitaaluma nashukuru
  10. H

    Kero hii Uwanja wa Ndege JNIA

    Kuhusu chanjo ya polio katika East Africa ni kenya na Uganda tu ndio wanaulizwa polio wa Tanzania ni vaccination tu na sijajua kwanini labda wabongo tu poa au tuko juu
  11. H

    Kero hii Uwanja wa Ndege JNIA

    Muheshimiwa hujanielewa wanapokuwa nayo hapo airport mi naona ni sawa kabisa tena narudia ni sawa kabisa kwasababu hii chanjo ya vaccination huwa ukipigwa hadi miaka kumi sasa ndugu yangu umepata safari ya ghafla mfano unampeleka mama yako india kutibiwa wewe umetoka huko mbio umefika kiwanja...
  12. H

    Kero hii Uwanja wa Ndege JNIA

    Uwizi ni swala la hatari sana waheshimiwa wadau hilo msilumbane ila watu wachunguzwe kila mmoja awe mchunga wa mwenzake hiyo ndio suluhu na wasioneane aibu kuna watu wanaweza wakawa wanalipwa mshahara mzuri tu na akachukua kitu chenye dhamani ndogo ole wao za mwizi ni arubaini endeleeni tu iko...
  13. H

    Tundu Lissu nimfananishe na mchezaji gani wa soka?

    Tundu lissu for president in 2015 kura ya ndio
Back
Top Bottom