Recent content by highlam

  1. highlam

    JamiiForums Tanzania Maoni, Mapendekezo na Ushauri kwa Walimu

    Nipatie details in box
  2. highlam

    JamiiForums Tanzania Maoni, Mapendekezo na Ushauri kwa Walimu

    Hakuna mwajiri anasaini pesa hiyo,alete details tufwatilie
  3. highlam

    JamiiForums Tanzania Maoni, Mapendekezo na Ushauri kwa Walimu

    Anipe data zote in box
  4. highlam

    JamiiForums Tanzania Maoni, Mapendekezo na Ushauri kwa Walimu

    Anapotosha
  5. highlam

    JamiiForums Tanzania Maoni, Mapendekezo na Ushauri kwa Walimu

    Naomba jina la huyo mwalimu,na tsd namba yake anaepokea elfu 16,km serikali tufwatilie
  6. highlam

    JamiiForums Tanzania Maoni, Mapendekezo na Ushauri kwa Walimu

    Sorry na drive nakosea maneno
  7. highlam

    JamiiForums Tanzania Maoni, Mapendekezo na Ushauri kwa Walimu

    Usidanganye watu bhana, hakuna sekta ya government inayoruhusu mtu kupokea elfu 16000, mwajiri na utumishi anasaini asimia acha kuwadanganya watu, wewe si umeweka card yako nje?
  8. highlam

    JamiiForums Tanzania Maoni, Mapendekezo na Ushauri kwa Walimu

    Kazi njema
  9. highlam

    JamiiForums Tanzania Maoni, Mapendekezo na Ushauri kwa Walimu

    Mpayungu
  10. highlam

    JamiiForums Tanzania Maoni, Mapendekezo na Ushauri kwa Walimu

    Umeandika hadi muyangu,its ok,usijali rfk huu ni mtandao tu kuna maisha,baada ya maisha,uko na picha hadi upo bwawani rfk,usidhani wote wanchoandika mtandaoni ni kweli,ila uwe na amani tu
  11. highlam

    JamiiForums Tanzania Maoni, Mapendekezo na Ushauri kwa Walimu

    Asante
  12. highlam

    JamiiForums Tanzania Maoni, Mapendekezo na Ushauri kwa Walimu

    Hujitambui
  13. highlam

    JamiiForums Tanzania Maoni, Mapendekezo na Ushauri kwa Walimu

    Ifike mahali mjitambue, na mtambue, Mwalimu ni mtu muhimu sana katika maisha yako
  14. highlam

    JamiiForums Tanzania Maoni, Mapendekezo na Ushauri kwa Walimu

    Heshimuni walimu, asingekuwepo mwalimu usingejua kusoma na kuandika, bakizeni watoto wenu nyumbani muwafundishe, wewe ulijua kusoma na kuandika alikufundisha baba yako au mama yako? Acheni dharau, mlisaidiwa hadi kufunga zipu na kutengenezwa sketi zenu, na mafua hadi kifuani, angalia mfano wa...
  15. highlam

    JamiiForums Tanzania FT: Marumo Gallants 1 - 2 Young Africans | CAF Confederation Cup 17.05.2023

    Yanga oyee
Back
Top Bottom