Recent content by Hidden Id

  1. H

    Tuwaambie ukweli wanawake, hakuna mwanaume rijali anaetosheka na mwanamke mmoja!

    Yaah of course inawezekana mojawapo ikawa tamaa. Lkn pili wanaume tuna mihemko ya haraka sn ya kihisia mzee baba! Ndo maana kichwa cha chini kikichachamaa na km huna ubavu wa kujicontrol hisia zako ktk mapenzi unasikia jamaa kabaka ajuza, mtoto mdogo(astaghafirullah, ashakum si matusi). Wengine...
  2. H

    Tuwaambie ukweli wanawake, hakuna mwanaume rijali anaetosheka na mwanamke mmoja!

    Kwa nn ss labda? Ugumu wa ghafla na kutaka tiba ya papo kwa hapo au imekaaje kwako!? Hv kweli ladha zinatofautiana au tu mnyumbuliko wa viungo ndiyo unakupa 'wazimu'?
  3. H

    Tuwaambie ukweli wanawake, hakuna mwanaume rijali anaetosheka na mwanamke mmoja!

    Tujiulize tu, je michepuko inasababishwa na nini hasa? 1. Tamaa zetu wanaume kwa wanawake? 2. Mahitaji ya kimwili kwa wanawake kwa wanaume? 3. Uwiano wa me vs ke kuwa tofauti hvy kulazimu ke kujirahisisha kwa me ili nao wapate sitirika? Nk
  4. H

    Tuwaambie ukweli wanawake, hakuna mwanaume rijali anaetosheka na mwanamke mmoja!

    Sina uhakika na hili lako hasa hii jamii yetu ya wanaume wa Kiafrika. Wapo kweli wanaume wa aina hii lkn nafsi yako inajua zaidi!
  5. H

    Tuwaambie ukweli wanawake, hakuna mwanaume rijali anaetosheka na mwanamke mmoja!

    Labda wewe mwanamke wale wa zamani wanaojua mapenzi! Kama ndiyo hvy hongera zako na tafuta shababi na rijali hasa mwenye kuzijua show za kibabe. Lkn kama hawa wa kizazi hiki ambao hata kiuno kigumu kama nn utapata taabu tu ukiamua kuhangaika coz utaja kutana na wababe wa show na kujuta
  6. H

    Tuwaambie ukweli wanawake, hakuna mwanaume rijali anaetosheka na mwanamke mmoja!

    Nadhani mada umeielewa vibaya. Mm nazungumzia suala la kukubali na hatimaye kuhalalisha kuwa mke rasmi. Wewe dada, mke na mpenzi vema ukubali muwe wawili kuliko kujidanganya
  7. H

    Tuwaambie ukweli wanawake, hakuna mwanaume rijali anaetosheka na mwanamke mmoja!

    Dada suala la uwiano huo hb achana na theory nenda ktk nadharia zaidi. Basi pita hata ktk taasisi i ayihusima na masuala ya takwimu uangalie hilo kwa hapa Bongo. Ukija suala la upendo, ni hv mm kuwa na upendo na ww hainizuii kuwa na upendo na Christina. Hy yote ya uvumilivu na blaah blaah...
  8. H

    Tuwaambie ukweli wanawake, hakuna mwanaume rijali anaetosheka na mwanamke mmoja!

    Bhasi kuanzia leo nakupa ushauri huu kama makungwi wenu huko kwenye kitchen party hawawaambii twaweleza tu wazi. Mpe uhuru mwanaume kwa kumwambia kinagaubaga kuwa wewe tafadhali una nafasi na upo huru ila fanya uadilifu.
  9. H

    Tuwaambie ukweli wanawake, hakuna mwanaume rijali anaetosheka na mwanamke mmoja!

    Lkn kwa nini hamkubali na kutoa ruksa kiroho safi kama mnaelewa;
  10. H

    Tuwaambie ukweli wanawake, hakuna mwanaume rijali anaetosheka na mwanamke mmoja!

    Hlf bahati mbaya zaidi mizigo yenyewe inajirahisisha mnoooo! Tofauti nna zamani ulitakiwa mtu utumie rasilimali nyingi sn kuupata mzigo unaoeleweka! Nowdays ni easy mnoo
  11. H

    Tuwaambie ukweli wanawake, hakuna mwanaume rijali anaetosheka na mwanamke mmoja!

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  12. H

    Tuwaambie ukweli wanawake, hakuna mwanaume rijali anaetosheka na mwanamke mmoja!

    Kwani ww upendo wa dhati unautafsiri au unaufafanua (define) vp? Kuwa na mahabbah ya dhati haina maana bhasi asipendwe na mwenzako! Vlbl Mkuu Saint anne hv mbona umchoyo hv kwa wanawake wenzako!? Hb angalia idadi ya wanawake ambao wapo tu. Kuna wale ambao bado vigori kuolewa, kuna wale...
  13. H

    Tuwaambie ukweli wanawake, hakuna mwanaume rijali anaetosheka na mwanamke mmoja!

    Ugumu wk ni nini? Ss kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wk inapotokea hvy na mzee baba anahamu ile mbaya na assume ndo alikuwa hayupo anataka yale mambo utamfanyaje? Ukizaa muda huo woote utamfanyaje kumkidhia haja zake? Anyway, ukiachana na sababu za upande wk lkn hili jambo unajua ni la...
  14. H

    Tuwaambie ukweli wanawake, hakuna mwanaume rijali anaetosheka na mwanamke mmoja!

    Kwa nn uruhusu mchepuko leo hy kesho yule na usimwambie tu bhana we jicommit sehem moja tujue tupo wawili? Wivu?
Back
Top Bottom