kama huyo jamaa angekua sio jambazi asingewakimbia polisi yani kiuhalisia huyo ni muhalifu halafu unaeleta taarifa hii hapa nawe ni Muhalifu Pia maana unasema polisi wamemkamata na kumpeleka kusiko julikana kwani polisi wakimkamata muhalifu wana mpeleka wapi tofauti na kituo cha polisi? acheni...

Bunge na Mahakama Ni vyombo Ambavyo viko Huru .uhuru wa watu umeimarikazaidi na ndio maana tundu lisu alipita dunia nzima akiiisema Tanzania Vibaya lakini alirudi nchini hakuna hatua aliochukuliwa na pia karuhusiwa kugombea na anafanya kampeni kama wagombea wengine japokua anatukana watu kewenye...
Hakika Magufuli Anahtaji Miaka Mingine Mitano Afanye Maajabu Zaidi ya haya ya leo.Watanzania wanaona anachokifanya Mzee Magufuli hawawezi kumuacha bila kumpa Kura Magufuli.
LISSU APANGULIWA HOJA 7 KWA MIKWAJU 7 YA TAKWIMU NA KAFULILA!
NIMEONA MATOBO 7 HOJA ZA LISSU!
Kwanza nashukuru sasa kuona ndugu yangu Tundu Lissu ameanza kuleta hoja zinazoweza kuanza kujadilika kama mgombea, tofauti na mwanzo ambapo ilikuwa ni masimulizi ambayo kwakweli hayakuwa na lolote la...
Safari hii ni kuwapeleka mchaka mchaka tu
Sherehe ya Makubwa yaliyotendeka Miaka Mitano (5)
Uimara wa Muungano wetu
Ukuajui wa Demokrasia,
Ukuaji wa Kiuchumi,
ushirikishwaji wa jamii katika maamuzi ya serikali,
uzinduzi wa kampeni za mgombea urais ZANZIBAR .
#CCM
#JPM2020
#YajayoNiNeemaTupu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.