Recent content by hesalieyo

  1. H

    JamiiForums Tanzania Nimegundua Siri, Wanawake someni hapa

    Hiyo ya pesa Haina uhusisno na topic yangu, usiombe but akikupa pokea
  2. H

    JamiiForums Tanzania Nimegundua Siri, Wanawake someni hapa

    Wadada usithubutu kukutana na mwanaume ambaye mmeanza Naye mahusiano , at least chukua muda wa miezi zaidi ya mitatu au minne umsome kwanza kama Yuko serious au mpitaji Yaani nimegundua ukiachana na mwanaume ambae hukuwah kukutana Naye kimwili, hutapata maumivu kama ambavyo uachane na mwanaume...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Kuna ukweli wowote katika hili?

    Maana bwege mmoja , Na mtazamo wako ukoje?
  4. H

    JamiiForums Tanzania Kuna ukweli wowote katika hili?

  5. H

    JamiiForums Tanzania REDIFINE AFRICA achenj utapeli

    KwA Nini serikali isiwafanye chochote kama ni raia wa kigeni?
  6. H

    JamiiForums Tanzania Mwanamke akiniomba hela namchukia hapo hapo

    Walio kama ww katika mia wawili labda maana mm x wangu jaman alikuwa hatoi pesa yoyote asipoonbwa yaan sitakuja msahau maisha yangu yote, alikuwa mbinafsi Sana, sijuwah muomba peaa jamanii but siku moja nikapata shida , ikabid nimuonbe yy jibu lake ni Sina mara zote,,.sijui kama atakuja dumu...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Wengine hatumpendi Mungu tunajilazimisha tu

    Aisee kuliko kuwa mnafiki katika Mungu ni Bora uchague moja, Mungu au shetani ijulikane moja
  8. H

    JamiiForums Tanzania Mke wangu hajali familia

    Sasa watoto wanahusikaje hapa katika hii adhabu, yeye aondoke mwenyewe awaache watoto ili roho imuume atakapowakumbuka wanae.
  9. H

    JamiiForums Tanzania Naomba kutafsiriwa ndoto hii

    Asante madam🙏
  10. H

    JamiiForums Tanzania Naomba kutafsiriwa ndoto hii

    🤣🤣🙏
  11. H

    JamiiForums Tanzania Naomba kutafsiriwa ndoto hii

    Sawa mkuu
  12. H

    JamiiForums Tanzania Naomba kutafsiriwa ndoto hii

    Asante Sana mkuu, ubarikiwe
  13. H

    JamiiForums Tanzania Naomba kutafsiriwa ndoto hii

    Na wewe waweza sema neno mkuu
  14. H

    JamiiForums Tanzania Naomba kutafsiriwa ndoto hii

    Mkuu tafadhali naomba unielezee kidogo ni nzurii kivipiili niweze kuiatamia Kwa maombi
Back
Top Bottom