Recent content by heryson wilson

  1. H

    JamiiForums Tanzania KERO Wafanyakazi wa TFS wanawanyanyasa sana wafanyakazi wa mikataba

    Kuna tuhuma nzito dhidi ya Kiongozi wa Wilaya kuhusu matumizi mabaya ya madaraka, ikiwemo kuwagawia baadhi ya wafanyakazi majukumu kwa misingi ya kutoa fedha, huku akiwaingiza ndugu na watu wake ambao si waajiriwa rasmi kufanya kazi za ofisi. Inadaiwa kuwa watu hao humlipa fedha ili kuendelea...
  2. H

    JamiiForums Tanzania KERO Wafanyakazi wa TFS wanawanyanyasa sana wafanyakazi wa mikataba

    Wafanyakazi wa TFS wanawanyanyasa sana wafanyakazi wa mikataba. Kwenye malipo ya madokezo, unakuta wanawasainisha kuwa watalipwa laki moja na nusu, lakini ukienda kusaini unapewa Sh20,000/= tu. Halafu unasaini jina na saini, huku kwenye kiwango cha pesa na idadi ya siku za kufanya kazi wakijaza...
Back
Top Bottom