Recent content by hermanjose

  1. H

    Msaada namna ya kuanzisha saluni ya wanaume (barbershop)

    Jaman naomba kufahamu napaswa kuwa na mtaji kiasi gani niweze kuanzisha saloon hii naomba jamani Sent using Jamii Forums mobile app
  2. H

    Biashara ya bodaboda pamoja na vipodozi

    Habarini ndugu natumaini mu wazima! Lengo la kuomba ushauri kuhusu biashara hizi ni kwa vile sina uzoefu nazo lakini nimetokea kuvutiwa nazo kutokana na hesabu ambazo nimekuwa nikizipiga. Napo bodaboda ndio target kubwa hasa ningependa kupata ushauri zaidi juu ya biashara hizi kutoka kwenu...
Top Bottom