Msaada namna ya kuanzisha saluni ya wanaume (barbershop)

CONTROLA

JF-Expert Member
Sep 15, 2019
5,600
2,000
Mashine ya kunyolea OG = 120,000

kioo sheet 1 = 30,000

Vikorokoro vidogo,mafuta,sponje,machanuo,nk = 20,000

Kiti = 45,000

Kibanda (ofisi ya kazi) = 300,000

Benchi la wateja : 15,000

TOTAL : 530,000

hii ni gharama ya kufungua local local local saloon,makadirio yake usiwe na chini ya hiyo hela ili kufanikisha ufunguaji wa saloon ya namna hiyo na inabdi hapo usimamie mwenyewe kila kitu,ukisema utume mtu hata kitu kimoja Hiyo hela haitotosha kuna vitu hutonunua.
 
CONTROLA

JF-Expert Member
Sep 15, 2019
5,600
2,000
Kwa Classic saloon Huwa hamna bei elekezi ya kuanzia

maana hapo ni mambo ya luxury tu kuanzia muonekano

wa ofisi mpk vitendea kazi vya ofisi,hivyo hapo sina la kuweza

kusema eti kias flani kinatosha kuanzia ni doh zako znaongea hapo.
 
Kanungila Karim

Verified Member
Apr 29, 2016
17,635
2,000
Mashine ya kunyolea OG = 120,000

kioo sheet 1 = 30,000

Vikorokoro vidogo,mafuta,sponje,machanuo,nk = 20,000

Kiti = 45,000

Kibanda (ofisi ya kazi) = 300,000

Benchi la wateja : 15,000

TOTAL : 530,000

hii ni gharama ya kufungua local local local saloon,makadirio yake usiwe na chini ya hiyo hela ili kufanikisha ufunguaji wa saloon ya namna hiyo na inabdi hapo usimamie mwenyewe kila kitu,ukisema utume mtu hata kitu kimoja Hiyo hela haitotosha kuna vitu hutonunua.
Kuna zile saluni za kisela zipo huku jijini Buza zetengenezwa kwa mabati chakavu
 
CONTROLA

JF-Expert Member
Sep 15, 2019
5,600
2,000
Kuna zile saluni za kisela zipo huku jijini Buza zetengenezwa kwa mabati chakavu
Biashara ikiwa local saaanaaaaa Kuna wateja hutowapata

biashara haitakiwi iwe ya kimaskin maskini kivileee,iwe local

but standard,vitu vya bei ndogo ila vipo ktk mazingira mazuri

saloon za mabati chakavu siwezi ingia kunyoa hata mimi CONTROLA

ila local saloon kama niliyoichanganua hata mimi naingia,ndio saloon zetu wazee wa budget kali.
 
T14 Armata

JF-Expert Member
Mar 7, 2017
4,047
2,000
Mashine ya kunyolea OG = 120,000

kioo sheet 1 = 30,000

Vikorokoro vidogo,mafuta,sponje,machanuo,nk = 20,000

Kiti = 45,000

Kibanda (ofisi ya kazi) = 300,000

Benchi la wateja : 15,000

TOTAL : 530,000

hii ni gharama ya kufungua local local local saloon,makadirio yake usiwe na chini ya hiyo hela ili kufanikisha ufunguaji wa saloon ya namna hiyo na inabdi hapo usimamie mwenyewe kila kitu,ukisema utume mtu hata kitu kimoja Hiyo hela haitotosha kuna vitu hutonunua.
1.Kiti cha kuzunguka
2.Mashine mbili (sijui kwanini wanatumia tofauti kunyolea na mitindo)
3.Kioo
4.Sabufa
5.Makorokoro yote sijui mafuta, spirit, maji, vitambaa
6.Carpet au poster za kina Ludacris na Jay Z
7.Kisofa cha wateja watatu

Bado kuna kodi ya flame cha kupanga, kwa miezi 6.
Naomba kujua makadirio ya gharama za jumla ya vitu hivi endapo unamuweka mtu. Gharama za kupanga zihusike, ni kwa muda gani naweza kuanza kuhesabu faida. Na mmiliki anatakiwa kupokea kiasi gani kutoka kwa mwajiriwa wake.
CONTROLA
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom