Moja, Sasa kama hiyo haijatoka, na hii iliyoletwa hapa JF imetoka wapi? Chanzo chake ni kipi haswa!
Pili, Nimeshindwa kuelewa uhusiano wa CAG kustaafu na ripoti kupelekwa bungeni bse CAG akikabidhi ofisi ni pamoja na kukabidhi nyaraka zote zilizokwisha na zinazopashwa kufanyiwa kazi ikiwemo...
Mh. Waziri Tibaijuka alikiri kupokea msaada huo kutoka VIP Engineering na sio kukiri propaganda zenu kuwa alishiriki kuchota pesa kutoka Tegeta-Escrow account.
Acha uongo, semeni ukweli mbele za Mungu.
Taarifa: Prof Tibaijuka hana kashfa ya fedha za IPTL.
Kama kawaida tuhuma hizo zinaundwa na kusambazwa na maadui wake kwenye mitandao ya kijamii kumchafua kwa malengo na hofu ya siasa za 2015.
Prof amefafanua kwa uwazi katika gazeti la Raia Mwema kwamba alichopokea ni mchango wa shule ya...
Taarifa: Prof Tibaijuka hana kashfa ya fedha za IPTL.
Kama kawaida tuhuma hizo zinaundwa na kusambazwa na maadui wake kwenye mitandao ya kijamii kumchafua kwa malengo na hofu ya siasa za 2015.
Prof amefafanua kwa uwazi katika gazeti la Raia Mwema kwamba alichopokea ni mchango wa shule ya...
The Boss, tupe ushahidi wa tuhuma hizi au omba radhi kwa chuki na ukabila wa wewe mwenyewe. Kama hutaki kabila la mama Tibaijuka, tatizo ni lako si lake
Kwani mama Tibaijuka asipokuwa Mbunge hawezi ishi? Na je nani kakwambia kuwa mama Tibaijuka atarudi? Na je kwa nini uliwatoa hao Zimbihile na Masilingi na kumsimika mama Tibaijuka tena kwa bila kupingwa?
Kama wewe ni mtu mzuri kwake na jibu na njia mbadala ya kuuepuka mnyauko, umemsaidiaje huyo...
Picha ya kwanza, Mh. Prof Anna Tibaijuka anakabidhi cheki ya Shs. 800,000 kwa mwenyekiti wa umoja wa wazee wa kata ya Bunju aliowaahidi siku ya wazee duniani alipokuwa mgeni wao rasmi
Picha ya pili, Prof. Tibaijuka akikabidhi kwa diwani wa Bunju Mh. Sharif Majisafi, vitabu 10 vya uthamini wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.