Recent content by Heretic monk

  1. Heretic monk

    Spika Job Ndugai amefunguka na kusema atakwenda jijini Nairobi nchini Kenya kumuona Tundu Lissu

    albadili haijawai kumwacha mnafiki salama.. spika my foot
  2. Heretic monk

    Kitendo cha Rais Magufuli kutoshiriki katika kuwaaga Makamanda 14 wa JWTZ waliouawa DRC...

    sina kawaida ya kukubali uzushi ... ila KIMAMBIMANGE inawezekana alibashiri ukweli behind our dead soldierz(heroes).... mkulu knows everrything thats y hakuja.
  3. Heretic monk

    Magufuli shujaa, ataka 68 wa madawa wanyongwe! Kikwete alikuwa dhaifu mno, aliomba wasinyongwe!

    wasiokuelewa brother wanahitaji tuishieni... SHUJAA WA KUNYONGA.
  4. Heretic monk

    Kijana aliyetuma picha za Nyufa za Hosteli za Magufuli UDSM akamatwa na Polisi, anyimwa dhamana

    WHAT NEXT. UNAKAMATWA NA POLISI BILA KOSA BADO HAITOSHI USHAHIDI WOOTE UNAO NA UNAWEZA KU UPRESENT ANYWHERE ANY TIME..SASA MTANISHITAKI KWA LIPI? KUSEMA UONGO AU KUSEMA UKWELI USIOHITAJIKA??
  5. Heretic monk

    Mwanamuziki Nguza Viking (Babu Seya) na Mwanaye Johnson Nguza (Papii Kocha), watoka jela kwa msamaha wa Rais Magufuli

    THIS MIGHT BE A NEW WEAPON IN MARKET my take. hii inshu ya kifungo cha hawa ndugu zetu bado ina ukakasi usiofikirika kwa timamu akili...inavyosemekana walifanyiwa hila na kutengenezewa kesi iliyopelekea wao kufungwa..(rejea barua ya papii kocha kwa mh rais).. who knows what next.. coz +THE ENEMY...
  6. Heretic monk

    Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!

    usiposoma uzi huu kwa umakini.. hakika utatoka patupu...waswahili husema.. ASIYEJUA MAANA.....
  7. Heretic monk

    Kama Rais anafikiri ataua upinzani kwa kununua viongozi kamwe hatofanikiwa

    its ok to strumble we all human after all.
  8. Heretic monk

    Njoo tuongee na January Makamba: Asema nyumba ya mama Lwakatare inasubiri maamuzi ya mahakama kubomolewa

    Mweenye CV ya huyu jamaa.. Msaada tafadhali.. Tuanzie hapo.. Ili tufahamu uhalali wa hicho kiti ulichokalia.
  9. Heretic monk

    Tuhuma za Ukabila: Wasukuma si Miongoni mwa Makabila yenye Ukabila, tatizo ndio walio wengi!

    HILI NENO UKABILA NI MOJA YA SABABU KUBWA INAYOSABABISHA MATAIFA MENGI YASIENDELEE NA HATA KUPIGANA WAO KWA WAO KWA SABABU YA NENO HILI ,UKABILA,, MUNGU TUONGOZE TUSIINGIE KWENYE DHAMBI HII..
  10. Heretic monk

    Rais Magufuli: Majizi yamehamia CHADEMA

    SIKU AKIRUHUSU WALLAH NAHAMA NCHI..
  11. Heretic monk

    Nyalandu: CCM imeingiliwa na watu wenye roho mbaya

    Doh` hawa jamaa ni NDUMILAKUWILI ASEE++
Back
Top Bottom