Recent content by herbeth

  1. H

    JamiiForums Biashara Gani kwa sasa inafaa na haka ka Mtaji kangu ka 1mil to 2mil tafadhari msaada

    ndugu upo mkoa gan il tujue kuna fursa zip.kama upo sehem ina misitu reply nikupe biashara utayofanya kwa miez minne na kumilik karibu 30 mil.
  2. H

    JamiiForums Nataka msaada wa taratibu za kufuata kusajil na kupata kibali cha kukata na kuuza nguzo za umeme.

    Wana JF naomba kwa yoyote anaejua process za vibal vya uvunaji wa misitu na uuzaj wa mal za misitu anisaidie kwa namna gan naweza kupata kibal cha kuifanya kaz hii.nimeianza ila naona nivizur nikaisajil ila taratibu za kufuata bado nipo gizan.naomba mnisaidie wadau
  3. H

    JamiiForums Another Look at Masturbation

    ili somo ilitakiwa liwah ungeokoa weng mdau....
  4. H

    JamiiForums totally confused wadau

    mchumba angu nahis hana commitment kama ilivyo kwa wa2 weng ktk mahusiano ila ana claim anaipenda sana.kinacho nichanganya ni pale anapokutana na x wake anakosa ujasili wa kutompa nafas ili wasicommunicate na siamin nisipokuwa around kama atajichunga and i love her 2.
Back
Top Bottom