Wakat mwingine muwaelewe na muwaonee huruma haya mabenk coz BOT huwa wanawabana sana kwenye CIR( Cost to income ratio)…Huduma nyng za kibenk siku hizi unaweza kufanikisha Online ndio lengo la serikali, so wakijaa mastaff vyumba vyote vya tellers gharama za uendeshaji zinapanda, na BOT...
Mambo yote yanayohusu fedha , budgeting na uwekezaji huwa ni personal choices za mtu…Kuna wengine wanapenda wawekeze kwenye biashara , wengine real estate, wengine Utt , wengine Hisa, Crypto na bitcoins…wanasemaga personal finance is personal !!…Kila mtu afanye maamuzi pale ambapo moyo wake una...
Broker si ndio anafacilitate ww kununua au kuuza hisa, au bond, na ukiwa na changamoto yyte mtu anayekusaidia kwa haraka ni broker most the time and free of charge na hiyo brokerage fee ya 0.024% sio ya kwake peke yake, hiyo inagawanywa kiasi inabaki kwake nyngne inaenda Dse, nyingine Cmsa...
Tangu mwaka 1998 DSE ilipoanza kufanya kazi, hakuna hata hisa moja ya mtu aliyowahi kuibiwa au kupotea…DSE inasimamiwa kikamilifu na CMSA, capital markets and securities tribunal, CSDR , Bank of Tanzania, Ministry of Finance… Ukiona holding zako huzielewi unamwambia Broker anakutumia Csdr...
Siwapi promo but, nafikiri Orbit Securities wana Huduma nzuri sana, coz kwa kiasi kikubwa wao ndio wamesaidia kuongeza ufaham wa mambo ya uwekezaji wa hisa kuanzia wakat walikuwa wana discussions Clubhouse kabla haijawa banned, wana group la Whatsapp wanatoa elimu za uwekezaji, pia wana live...
DSE walikuwa wanafanya maboresho ya mifumo yao, ukitaka uwe na amani na uhakika muombe broker wako akupatie CSDR statement…Itaonesha holding zako zote !!
But before mtu uanze kuwekeza ni muhimu sana uhakikishe unapata elimu ya kutosha kuhusiana na hiyo kampuni unayotaka kuinunua na soko la hisa kwa ujumla wake, ili unapofanya maamuzi unafanya a well informed decision, usinunue tu kwa vile umesikia hisa fulani ni maarufu watu wananunua!!.… Tafuta...
Fuatilia factors zinazofanya real estate ishuke value na price…Zipo nyng tu ni vile watu wengi hatufuatilii…Sio mara zote Real estate inapanda, kuna wakat inashuka
Ni sawasawa tu ukiwa na kiwanja au nyumba, faida au kupanda thamani kwake ni nadharia, mpaka uuze ndio unapata faida halisi…Na siku unayotaka kuuza unaweza ukakuta pia kiwanja au nyumba imeshuka bei au ukauza kwa hasara vilevile kama una dharura coz real estate moja ya dissadvantage ina Low...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.