Mlongo ni Jembe kama uncle wenu mimi uncle Matata tumpe ushirikiano wa dhati Mza utakuwa jiji la Amani tuwasuse wafanya fujo na wapenda maandamano yasio na tija
Udiwani Kwangu sio walazima kwani miaka yote nilikuwa diwani acheni maneno ya ushabiki Mimi naweza kujitegemea bila hata umeya na udiwani kama unijua vizuri jua Mimi najiamini sana ile mbaya na ukome
Nani kabakiza miezi minane ahame mwanza ? Kama labda una maana mimi basi umepotea mimi ni mwanza kabisa na hakuna mtu yeyote Yule wakunithibiti mm na kwa tarifa yako hata watu wanakushangaa kujiropokeA maneno hayo wewe unihamishe mimi mwanza
Wenje anaelekea mwisho ' watu wa mwanza wameisha mgundua kama ni mbabaishaji 'muongo ,mhamishishaji wa fujo ,mnatukana mkuu wa mkoa amewakosea nini kama sio ushabiki wa kisiasa , waacheni polisi wafanye kazi yao na kama wenje hamutaki akamatwe basi aache fujo aache uchochezi aache kuwanywesha...
Dawa ya moto ni moto uchochezi ni kosa la jinai tena iko scheduled serious offence na cognizable offence ambayo imamtaka police afanye direct arrest haina haja ya arrest warrant mkuu wa ni kiongozi mteule wa raisi ni kiongozi penda usipende lazima umuheshimu wenje amezowea kuteki chance safari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.