Recent content by Henrique mbuligwe

  1. Henrique mbuligwe

    Lowassa kusababisha ukosefu mkubwa wa ajira kuanzia Julai 2015

    Lowassa hoyeeee!!! Mti wenye matunda ndio unaopigwa Mawe. Urais ni wako baba. Mungu akisema ndiyo nani atasema hapana. Uwe hodari na moyo wa ushujaa babaangu lowassa, wewe ndo rais mtarajiwa.
  2. Henrique mbuligwe

    Chatu afa baada ya kumeza Nungunungu

    Amakweli za mwizi ni arobaini. Rest in peace nungunungu. Umeokoa maisha ya wenzako wengi kwa kumuua chatu huyo.
  3. Henrique mbuligwe

    Tanzia: Mwandishi wa Habari, Edson Kamukara afariki Dunia kwa ajali ya moto wa gesi

    Tulikupenda sana kaka yetu but mungu kakupenda zaid. Pumzika kwa amani kakaangu
Back
Top Bottom