Recent content by hemedi 1

  1. H

    JamiiForums Tanzania Kuumbwa kwa Adam na Eva mbona kunajichanganya kwenye maelezo ya mwanzo

    Nayo mbona ipo sawa tu
  2. H

    JamiiForums Tanzania Kuumbwa kwa Adam na Eva mbona kunajichanganya kwenye maelezo ya mwanzo

    Soma upya sura ya kwanza na pili ndipo utaelewa
  3. H

    JamiiForums Tanzania Kuumbwa kwa Adam na Eva mbona kunajichanganya kwenye maelezo ya mwanzo

    Mwanzo sura ya pili inatoa maelezo ya nyongeza kuhusiana na Mwanzo moja mfano. “hapakuwa na mche wa kondeni bado, wala mboga ya kondeni haijachipuka bado, kwa maana Bwana Mungu hajainyeshea nchi mvua, wala hapana mtu wa kuilima ardhi;” — Mwanzo 2:5 (Biblia Takatifu) Ukisoma hapo utaona...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Melchizedek na utata unaomzunguka

    Kumbuka Yesu alikuwepo kabla ya hilo lililotokea mara ya pili
  5. H

    JamiiForums Tanzania Melchizedek na utata unaomzunguka

    Mwandishi wa kitabu cha Waebrania ni Paulo
  6. H

    JamiiForums Tanzania Je; baba mlezi wa Yesu, Yosefu mfanyakazi hakuacha uzao?

    Kumbuka Salome ni mama wa Yohana mtume au nini mama wa wana wa Zebedayo
  7. H

    JamiiForums Tanzania Je; baba mlezi wa Yesu, Yosefu mfanyakazi hakuacha uzao?

    Hapana huyo Yohana mwandishi wa injili na ufunuo ndio wale wana wa Zebedayo
  8. H

    JamiiForums Tanzania Story gani katika kitabu cha dini yako unafikiri ni hadithi ya ngano tu?

    Mkuu inawezekana
  9. H

    JamiiForums Tanzania Story gani katika kitabu cha dini yako unafikiri ni hadithi ya ngano tu?

    Mh ila kumbuka kabla ya hiyo miaka walifanya uchunguzi mara mbili na kuona kwamba haiwezekani kwenda moja kwa moja
  10. H

    JamiiForums Tanzania Bible Mysteries: Q source iko wapi

    Hakuna tofauti kwa maana Kaisari ndio kiongozi mkuu na Herode alikuwa chini ya Kaisari.
Back
Top Bottom