Mimi ndio Kwanzaa nimeingia kwenye kilimo na nimelima hizo Assila F1 mpaka sasa zina siku 21 tangu nimehamisha shamban. .. Kwa nilichoona hawa cutworms walikula ila nilipiga Dudu All nikachanganya na Ridomill ajili ya ukungu, Baada ya siku 10 nikapiga tena Ridomill nikachanganya na Ebony M72...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.