Recent content by Heller

  1. H

    Nahitaji Lathe machine

    Asante,lakini naona hii namba haipatikani.
  2. H

    Nahitaji Lathe machine

    Mwenye Lathe machine inayouzwa tuwasiliane
  3. H

    Shirima ujenzi bora Tanzania asaidiwe kitaalam ana kitu, atafika mbali!

    Huyu jamaa ni std 7 hajui hata maana ya BOQ,anajengea malimbukeni wa instagram kwa vitisho vingiiii na kuwabambikizia magharama yasiyo na msingi.huyu namfananisha na yule mwamba anayejiita “kiboko ya wachawi”
  4. H

    Kinyozi mzuri anatafutwa

    Barbershop ya kisasa ipo Kimara Temboni, Kinyozi mwenye sifa zifuatavyo anahitajika: 1.Awe na uzoefu wa kunyoa mitindo mbalimbali 2.Awe msafi/mtanashati. 3.Awe na kauli nzuri kwa wateja. Malipo ni makubaliano.(tuwasiliane kwa namba 0654990001)
Back
Top Bottom