Recent content by hekoswai

  1. H

    Nilicomfirm UDOM lakini mkopo nimepangiwa chuo kingine

    Mimi nimepata ajira serikalini pamoja na mkopo katika chuo nisicho confirm sasa nataka mkopo niuhamishie open university. Nifanyaje? Na je kama siutaki mkopo wao ili niendelee tu na job. Kuna hatua zozote za kufuata?
  2. H

    Tulio chaguliwa open university first year degree tukutane hapa

    Nimechaguliwa pia Kusoma degree ya sheria LLB. Sasa nilicomfrm mzumbe ila hali katikati ya safari nkafanikiwa kuitwa kazini. So imenibidi niachane na mzumbe niende open Swali. 1.Je bado nitakubaliwa kuanza open? 2. Je utaratibu wa kufanya mitihani upoje kwa sis waajiriwa itafanyika weekend ama...
  3. H

    HESLB kuanza kupokea maombi ya mkopo kwa mwaka 2017/18 kuanzia Agosti 06

    Kama unaamini katika Mungu Huu ndio wakati wa kukesha katika sala
  4. H

    HESLB kuanza kupokea maombi ya mkopo kwa mwaka 2017/18 kuanzia Agosti 06

    Tatizo la kujaribu mifumo kila mwaka tunaumia sisi dah.
Back
Top Bottom