Wakuu Portal ya Tume ya Utumishi wa Mahakama ni Pasua kichwa, kila ukijaribu ku register ili ufanye application haikubali ukipiga simu ya maulizo unajibiwa "linafanyiwa kazi na watu wa IT" na deadline imekaribia.
Kuna ambaye amejaribu amefanikiwa kutuma application anisaidie ?
Au ndio janja...
Naomba ufafanuzi kuhusu sifa
Kuajiriwa wenye “Intermidiet Certificate” (Module D) inayotolewa na NBAA au sifa nyingine zinazolingana na hizo zinazotambulika na NBAA, Shahada ya Biashara au Sanaa aliyejiimarisha kwenye fani ya Uhasibu, Stashahada ya Juu ya Uhasibu kutoka taasisi yoyote...
Kwakweli mfumo wa Usaili unahitaji kufanyiw Reform kubwa sana, kuanzia ratiba hata maeneo ya usaili.Nadhani wahusika watakuwa wanasikia kilio cha Wananchi
Kweli mimi sina akili inawezekana ndio sababu sijapata kazi na wewe una akili sana pengine ndio maana umepata kazi, lakini kwa maelezo yako, hata kama kuna Interview zingine zinapangwa siku nyingine Jumalili au next day, naomba kuuliza kwani unaweza kufanya Oral/ Practical kabla hujafanya...
Hongera sana kwa waliochaguliwa na tunashukuru sana kwa uzi hii ila poleni sana Wale ndugu zetu tunaoabudu siku ya Jumamosi na Jumapili (kwa mfano Wasabato ) Jumamosi ya tarehe 14 na 15 Mei itakuwa ni siku za Ibada ya kumwabudu Mungu. Tunaomba Sekretarieti ya Ajira chombo cha Umma chenye...
Issue ndugu zangu ni moja hapa, hata kama kweli kuna ulazima wa kuweka ratiba ya usaili Jumamosi, kweli ndio iwe kila Interview ya Mchujo ifanyike Jumamosi? mara nyingi saaaana tarehe ya Usaili wa Mchujo always ni Jumamosi, kwanini hatuoni siku zingine zikijirudia? kwanini wakati wote ni...
Hakuna hoja ya upendeleo issu ni kwamba kwa imani ya Waadventista Wasabato, Jumamosi ni siku ya ibada so kupanga Interview mara kwa mara au kila wakati siku hiyo kuna waumiza waumini hawa wachache ambao pengine kwa uchache wao hawana sauti ya kutosha kujitetea.
Hoja hapa sio Jumamosi, hoja...
Kwasababu ni wachache ( minority) ni ngumu kuona athari zake. Haipendezi kila Interview inapangwa Jumamosi kwanini hazipangwi siku nyingine kwa kurududia. Kwanini mara zote na mara nyingi ni Jumamosi, hata kama hatujali kwakuwa ni wachache hawana sauti lakini wanaumia sana.
Kumezuka tabia ya baadhi ya Waajiri ikiwemo Sekretarieti ya Ajira kupanga usaili siku za Jumamosi ( hususani Usaili wa Mchujo).
Kitendo hiki ni Kinatafsiriwa kama Ubaguzi (Discrimination) kwa waumini wa Kanisa la Waadvetista Wasabato ambao Jumamosi ni siku ya Ibada therefore, by doing so...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.